Posts

MAPENZI NA USHIRIKINA

kUNA Mambo makuu mawili yanayo wafanya wapenzi kuendeana kwa waganga, nayo ni:

1. KUTOJIAMINI BINAFSI YAKE.
2. WOGA NA WASIWASI WA KUACHWA.

Ukihisi mpenzi wako anakuendea kwa waganga, huyo achana nae, maana mtu ambaye alikupata kwa kauli na mkakubaliana kuwa wawili halafu baadaye anahisi upendo unaompenda nao hautoshi akitaka uzidishe zaidi ya hapo na wakati huo huo yeye binafsi hasimamii kukuongezea upendo ambao utalivusha pendo lenu kwenda kwenye PENDO JIPYA hakika huyo atakupa mikosi na sio jingine.
Mapenzi ni UBUNIFU wala sio uchawi, Moyo haulogwi mazeee...
Uchawi mzuri wa moyo ROGA kizungu MAHABA BATANIIII!, hapo hata shetani atakiri ya kuwa MUNGU mkubwa.
Nikwambie tuu kwamba, ulimi laini ni suruhisho la MAPENZI... Huna haja ya kubebeshwa mizigo wakati siraha uko nayo ni vile hujui na hutaki kujuwa.
Yapambe mahusiano/Ndoa yako kwa kujituma na kuwa mwingi wa ubunifu uone kama kuna haja ya kuogopa ama kuhisi wasiwasi kwenye Mapenzi yako.
 Kama unaamini muunganiko wako na mwenza wa…

KINACHOTESA KWENYE MAPENZI

UNACHOHITAJI KWENYE MAPENZI

USITAFUTE MWENZA, TAFUTA MWENZA SAHIHI

PAPASO LA LEO

ISHI NA MWENZA WAKO KULINGANA NA KIPATO CHENU

UMUHIMU WA KUJIANDAA NA MAISHA YA NDOA

MWANAUME MWENYE MALENGO NA WEWE UTAMTAMBUA KWA HAYA

NGUVU YA MUNGU KWENYE NDOA ZETU

MPENDE MKEO